UTUMISHI 2023

Names Called for Interview UTUMISHI – Various Posts

 

 


The selected interviewees ( 
SELECTED ) to continue with the interview must adhere to the time and place of the interview as specified in the announcement to be called to the interview.

All interviewees are required to arrive wearing a mask (MASK)
All interviewees are reminded to arrive with their original certificates (Original Certificates)
All interviewees are required to arrive with their identification

NB: Acceptable IDs include:- Resident ID, Voter ID, Work ID, Citizenship ID or Passport

 

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA), Chuo cha Serikali za Mitaa (LGTI), Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB), Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), Kitengo cha Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu (MPRU), Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Wakala wa Vipimo (WMA), Wakala wa Huduma za Ununuzi Serikalini (GPSA), Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI), Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA), Baraza la Famasia Tanzania (PCT), Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO), Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo (LST), Water Institute (WI), Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) na Taasisi ya Ustawi wa Jamii (ISW) anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 05 – 09 Septemba, 2022 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

 

 

Leave a Comment